iqna

IQNA

jinai za kivita
Jinai za Israel
IQNA-Spika wa Bunge la Iran Mohammad Baqer Qalibaf anasema utawala wa Kizyauni wa Israel uliasisiwa kwa mauaji ya kimbari na vita na hivyo kuendelea kuwepo kwake kunategemea kutekeleza jinai hizo za kutisha.
Habari ID: 3478179    Tarehe ya kuchapishwa : 2024/01/10

Jinai za Saudia nchini Yemen
TEHRAN (IQNA)- Shirika la Kimataifa la Kupambana na Mateso limesema katika ripoti yake kwamba, muungano vamizi unaoongozwa na Saudi Arabia ndio chimbuko la ukame na njaa inayowakabili wananchi wa Yemen kutokana na kuiziingira nchi nchi hiyo.
Habari ID: 3475836    Tarehe ya kuchapishwa : 2022/09/25

TEHRAN (IQNA)- Mwendesha Mashtaka wa Makakama ya Kimataifa ya Jinai (ICC) amesema kuwa mahakama hiyo imeanza uchunguzi kuhusu jinai za kivita zilizofanywa na Israel dhidi ya Wapalestina.
Habari ID: 3473702    Tarehe ya kuchapishwa : 2021/03/04

TEHRAN (IQNA)- Ripoti ya Umoja wa Mataifa imebaini kuwa yamkini utawala haramu wa Israel umetenda jinai za kivita au jinai dhidi ya binadamu katika oparesheni zake za kijeshi zinazowalenga Wapalestina katika Ukanda wa Ghaza
Habari ID: 3471857    Tarehe ya kuchapishwa : 2019/03/01

Ujumbe maalumu wa Mahakama ya Kimataifa ya Jinai (ICC) unaelekea ardhi za Palestina zinazokaliwa kwa mabavu (Israel) ili kuchunguza jinai za kivita zilizofanywa na utawala haramu wa Israel katika vita vya siku 50 dhidi ya Ukanda wa Ghaza.
Habari ID: 3470548    Tarehe ya kuchapishwa : 2016/09/04